sw_tn/ecc/09/06.md

24 lines
630 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# chochote kinachofanyika chini ya jua
"chochote ambacho watu hufanya chini ya jua"
# kula mkate wako kwa furaha, na kunywa mvinyo wako na moyo wa furaha
Misemo hii miwili inamaana za kufanana na inasisitiza umuhimu wa kufurahia mambo ya msingi ya maisha.
# kula mkate wako kwa furaha
"furahia chakula chako"
# kunywa mvinyo wako na moyo wa furaha
Hapa neno "moyo" linamaanisha hisia. "kunywa mvinyo kwa furaha"
# Nguo zako ziwe nyeupe siku zote, na kichwa chako kipake mafuta
Kuvaa nguo nyeupe na kupaka kichwa mafuta zilikuwa ishara ya furaha na kusherehekea.
# kichwa chako kipake mafuta
"pakaa kichwa chako mafuta"