# chochote kinachofanyika chini ya jua "chochote ambacho watu hufanya chini ya jua" # kula mkate wako kwa furaha, na kunywa mvinyo wako na moyo wa furaha Misemo hii miwili inamaana za kufanana na inasisitiza umuhimu wa kufurahia mambo ya msingi ya maisha. # kula mkate wako kwa furaha "furahia chakula chako" # kunywa mvinyo wako na moyo wa furaha Hapa neno "moyo" linamaanisha hisia. "kunywa mvinyo kwa furaha" # Nguo zako ziwe nyeupe siku zote, na kichwa chako kipake mafuta Kuvaa nguo nyeupe na kupaka kichwa mafuta zilikuwa ishara ya furaha na kusherehekea. # kichwa chako kipake mafuta "pakaa kichwa chako mafuta"