sw_tn/ecc/08/14.md

12 lines
353 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kuna mvuke mwingine usio faa
"kutokuwa na maana" au "ubatili". Vitu vinatokea ila havipaswi. Kama vile vitu vizuri kuwatokea watu waovu na vitu vibaya kuwatokea watu wema.
# jambo jingine linaofanyika juu ya dunia
"kitu kingine ambacho watu wanafanya duniani"
# kwa siku zote za maisha yake ambayo Mungu amempa
"kadri Mungu anavyomruhusu kuishi"