sw_tn/ecc/08/01.md

12 lines
355 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ni mtu gani mwenye hekima? Ambaye anafahamu matukio yana maana gani katika maisha?
Mwandishi anauliza haya kama maswali yanayoongoza kutoa majibu katika yale atakayoyasema baadaye.
# husababisha uso wake kung'ara
Hii inamaanisha kwamba uso wa mtu utaonesha kuwa ana hekima. "inaonekana usoni mwake"
# ugumu wa uso wake
"muenekano wake usiopendeza"