# Ni mtu gani mwenye hekima? Ambaye anafahamu matukio yana maana gani katika maisha? Mwandishi anauliza haya kama maswali yanayoongoza kutoa majibu katika yale atakayoyasema baadaye. # husababisha uso wake kung'ara Hii inamaanisha kwamba uso wa mtu utaonesha kuwa ana hekima. "inaonekana usoni mwake" # ugumu wa uso wake "muenekano wake usiopendeza"