sw_tn/ecc/07/26.md

20 lines
687 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mwanamke yeyote ambaye moyo wake umejaa mitego na nyavu, na ambaye mikono yake ni minyororo
Mwandishi anasema mwanamke mshawishi ni kama mitego ambayo mwindaji anatumia kushika wanyama.
# ambaye moyo wake umejaa mitego na nyavu
Hapa neno "moyo" linamaanisha mawazo na hisia. Huyu ni mwanamke ambaye anajali ya kwake tu. "anayetaka kumtega mtu"
# mitego na nyavu
Maneno haya mawili yote yanaonesha njia ambazo watu wanatega wanyama. Anaendelea kufikiria njia za kuwatega wanaume ili wampe vitu.
# mikono yake ni minyororo
Hapa neno "mikono" inamaanisha nguvu au mamlaka ya kuongoza. "ambaye hakuna awazaye kutoroka"
# mwenye dhambi atachukuliwa naye
"atamkamata mwenye dhambi"