sw_tn/ecc/07/23.md

20 lines
570 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Haya yote nimeyathibitisha
"Hivi vyote amabvyo nimekwisha andaki nimevithibitisha"
# ilikuwa zaidi ambavyo ningekuwa
"ilikuwa zaidi ya uwezo wangu kuelewa"
# mbali na kina sana
Hekima ilikuwa ngumu kushika. Wakati ulipokuwepo uelewa, ulikuwa mdogo. Ilihitaji utambuzi wa kina zaidi ya vile ambavyo mwandishi aliweza kupata. "ngumu kuelewa"
# Ni nani awezaye kuipata?
Mwandishi anatumia swali hili kusisitiza ugumu wa kuelewa hekima. "Hakuna awezaye kuelewa."
# Nikageuza moyo wangu
Hapa neno "moyo" inamaanisha akili. "Nikageuza mawazo yangu" au "nikakusudi"