# Haya yote nimeyathibitisha "Hivi vyote amabvyo nimekwisha andaki nimevithibitisha" # ilikuwa zaidi ambavyo ningekuwa "ilikuwa zaidi ya uwezo wangu kuelewa" # mbali na kina sana Hekima ilikuwa ngumu kushika. Wakati ulipokuwepo uelewa, ulikuwa mdogo. Ilihitaji utambuzi wa kina zaidi ya vile ambavyo mwandishi aliweza kupata. "ngumu kuelewa" # Ni nani awezaye kuipata? Mwandishi anatumia swali hili kusisitiza ugumu wa kuelewa hekima. "Hakuna awezaye kuelewa." # Nikageuza moyo wangu Hapa neno "moyo" inamaanisha akili. "Nikageuza mawazo yangu" au "nikakusudi"