sw_tn/ecc/05/12.md

12 lines
357 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Usingizi wa mfanyakazi ni mtamu
mtu ambaye anafanya kazi nzuri au ya ukweli anaweza kuridhika akijua alifanya kazi nzuri bila kujali malipo.
# kama anakula kidogo au sana
"kama anakula chakula kidogo au chakula kingi"
# haumuruhusu yeye kulala vizuri
mtu tajiri haridhiki na utajiri wake. Anabaki macho usiku akiwaza pesa zake. "humweka macho usiku"