# Usingizi wa mfanyakazi ni mtamu mtu ambaye anafanya kazi nzuri au ya ukweli anaweza kuridhika akijua alifanya kazi nzuri bila kujali malipo. # kama anakula kidogo au sana "kama anakula chakula kidogo au chakula kingi" # haumuruhusu yeye kulala vizuri mtu tajiri haridhiki na utajiri wake. Anabaki macho usiku akiwaza pesa zake. "humweka macho usiku"