sw_tn/ecc/05/08.md

24 lines
456 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# masikini akiteswa na kunyang'anywa
"watu kuwatesa watu masikini na kuwaibia"
# haki na kutendewa vibaya
Hii inamaanisha aina ya matendo ambayo watu wanastahili. "kutendwa sawa."
# usishangae
"usishtuke"
# kuna watu katika mamlaka
"kuna watu wenye mamlaka"
# hata walio juu yao
Kuna wanaume wengine wana utawala juu ya wanaume walio kwenye madaraka. "wanaume walio na mamlaka zaidi yao"
# uzalishaji wa ardhi
"chakula ambacho ardhi inazalisha"