# masikini akiteswa na kunyang'anywa "watu kuwatesa watu masikini na kuwaibia" # haki na kutendewa vibaya Hii inamaanisha aina ya matendo ambayo watu wanastahili. "kutendwa sawa." # usishangae "usishtuke" # kuna watu katika mamlaka "kuna watu wenye mamlaka" # hata walio juu yao Kuna wanaume wengine wana utawala juu ya wanaume walio kwenye madaraka. "wanaume walio na mamlaka zaidi yao" # uzalishaji wa ardhi "chakula ambacho ardhi inazalisha"