sw_tn/ecc/04/04.md

8 lines
346 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# wivu wa jirani ya mtu
Maana zinazowezekana ni 1) Jirani ana wivu na kitu alichounda jirani yake au 2) jirani ana wivu na ufundi alionao jirani yake.
# mvuke na kujaribu kuchunga upepo
Hakuna awezaye kuchunga upepo kama vile wanyama. Mwalimu anasema kwamba vitu ambavyo watu hufanya ni kama kujaribu kuushika upepo au kuuzuia upepo kupuliza.