# wivu wa jirani ya mtu Maana zinazowezekana ni 1) Jirani ana wivu na kitu alichounda jirani yake au 2) jirani ana wivu na ufundi alionao jirani yake. # mvuke na kujaribu kuchunga upepo Hakuna awezaye kuchunga upepo kama vile wanyama. Mwalimu anasema kwamba vitu ambavyo watu hufanya ni kama kujaribu kuushika upepo au kuuzuia upepo kupuliza.