sw_tn/ecc/03/01.md

16 lines
504 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Mwandishi anahama na kuanza kueleza tofauti za maisha.
# Kwa kuwa kila kitu na wakati wake, na majira kwa kila kusudi
Misemo hii miwili inamaanisha kitu kimoja na imeunganishwa kuleta msisitizo.
# kuzaliwa na ... kufa ... kuua na ... kuponya
Hizi ni sehemu mbali mbali za maisha kama zinavyoelezwa kutoka tofauti moja kabisa hadi nyingine.
# wakati wa kung'oa yaliyopandwa
Maana zinazowezekana ni 1) "wakati wa kuvuna" au 2) "wakati wa kutoa magugu" au 3) "wakati wa kung'oa."