# Taarifa ya Jumla: Mwandishi anahama na kuanza kueleza tofauti za maisha. # Kwa kuwa kila kitu na wakati wake, na majira kwa kila kusudi Misemo hii miwili inamaanisha kitu kimoja na imeunganishwa kuleta msisitizo. # kuzaliwa na ... kufa ... kuua na ... kuponya Hizi ni sehemu mbali mbali za maisha kama zinavyoelezwa kutoka tofauti moja kabisa hadi nyingine. # wakati wa kung'oa yaliyopandwa Maana zinazowezekana ni 1) "wakati wa kuvuna" au 2) "wakati wa kutoa magugu" au 3) "wakati wa kung'oa."