forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
676 B
Markdown
24 lines
676 B
Markdown
|
# nikasema moyoni mwangu
|
||
|
|
||
|
"nikajiambia"
|
||
|
|
||
|
# Hivyo kuna utofauti gani kama mimi ni mwenye hekima sana?
|
||
|
|
||
|
Mwandishi anatumia swali kusisitiza wazo lake kuwa hakuna faida ya kuwa na hekima. "Kwa hivyo haina tofauti kama nina hekima sana."
|
||
|
|
||
|
# Nikahitimisha moyoni mwangu
|
||
|
|
||
|
"nikahitimisha"
|
||
|
|
||
|
# mvuke
|
||
|
|
||
|
"umande" au "pumzi." Haidumu. "cha muda" au "haina maana." Kile ambacho watu wanafanya ni kama umande kwa sababu hakidumu na hakina maana.
|
||
|
|
||
|
# mwenye hekima, kama mpumbavu, hakumbukwi kwa muda mrefu
|
||
|
|
||
|
"watu hawatamkumbuka mwenye hekima kwa muda mrefu, kama tu ambavyo hawamkumbuki mpumbavu kwa muda mrefu"
|
||
|
|
||
|
# kila kitu kitakuwa kimesahauliwa
|
||
|
|
||
|
"watu watakuwa wamekishwa sahau kila kitu"
|