sw_tn/ecc/02/09.md

20 lines
429 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# hekima yangu ilikuwa ndani yangu
"nikaendelea kutenda matendo kwa hekima" au "nikaendelea kuwa na hekima"
# Lolote ambalo macho yangu yalikitamani
"Chochote nilichoona na kutamani"
# sikuyazuia
Hii naweza kuweka katika hali chanya. "nilijipatia"
# Sikuuzuia moyo wangu katika furaha yeyote
Hii naweza kuweka katika hali chanya. "Nilijiruhusu kufurahia kila kitu kilichonipa furaha"
# moyo wangu ulifurahi
"Nilifurahi"