# hekima yangu ilikuwa ndani yangu "nikaendelea kutenda matendo kwa hekima" au "nikaendelea kuwa na hekima" # Lolote ambalo macho yangu yalikitamani "Chochote nilichoona na kutamani" # sikuyazuia Hii naweza kuweka katika hali chanya. "nilijipatia" # Sikuuzuia moyo wangu katika furaha yeyote Hii naweza kuweka katika hali chanya. "Nilijiruhusu kufurahia kila kitu kilichonipa furaha" # moyo wangu ulifurahi "Nilifurahi"