sw_tn/ecc/01/09.md

16 lines
398 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Hakuna kitu jipya kuhusu binadamu na shughuli zake.
# kila kilichofanyika ndicho kitakachofanyika
"kile ambacho watu wamefanya ndicho ambacho watu watafanya siku za usoni"
# Je kuna jambo lolote ambalo watu wanaweza kusema, 'Tazama, hili ni jipya'?
"Hakuna kitu ambacho mtu anaweza kusema, 'Tazama, hiki ni kipya."
# nayo hayatakumbukwa
"watu wanaweza wasiyakumbuke pia"