# Taarifa ya Jumla: Hakuna kitu jipya kuhusu binadamu na shughuli zake. # kila kilichofanyika ndicho kitakachofanyika "kile ambacho watu wamefanya ndicho ambacho watu watafanya siku za usoni" # Je kuna jambo lolote ambalo watu wanaweza kusema, 'Tazama, hili ni jipya'? "Hakuna kitu ambacho mtu anaweza kusema, 'Tazama, hiki ni kipya." # nayo hayatakumbukwa "watu wanaweza wasiyakumbuke pia"