forked from WA-Catalog/sw_tn
28 lines
1.2 KiB
Markdown
28 lines
1.2 KiB
Markdown
|
# Taarifa ya Jumla:
|
||
|
|
||
|
Musa anazungumzia wimbo wa shairi kwa watu wa Israeli. Anaendela kunukuu maneno ya Yahwe na kuwaambia zaidi ya yale waliyopaswa kuelewa iwapo wangekuwa na hekima (32:28).
|
||
|
|
||
|
# Inawezekanaje mmoja kufukuza maelfu ... Yahwe hajawaachilia kwao?
|
||
|
|
||
|
Musa anatumia swali kukaripia watu kwa kutokuwa na hekima ya kutosha kuelewa kwa nini adui zao wanawashinda. Swali hili linaweza kutafsiriwa kama kauli.
|
||
|
|
||
|
# Inawezekanaje mmoja kufukuza maelfu, na wawili kuweka makumi elfu mbioni
|
||
|
|
||
|
Unaweza kuweka wazi taarifa inayoeleweka. "Inawezekanaje askari adui mmoja kufukuza wanamume 1,000, na maaskari wawili adui kusababisha wanamume wako 10,000 kukimbia"
|
||
|
|
||
|
# isipokuwa Mwamba wao hajawauza
|
||
|
|
||
|
Neno la "Mwamba" lina maana ya Yahwe amnaye ana nguvu na anaweza kulinda watu wake. "isipokuwa Yahwe, Mwamba wao, asingewapa kwao"
|
||
|
|
||
|
# Mwamba wao ... Mwamba wetu
|
||
|
|
||
|
"Mwamba" ni jina stahiki ambalo Musa anamptia Yakwe, ambaye, kama mwamba, ana nguvu na anaweza kulinda watu wake.
|
||
|
|
||
|
# mwamba wa maadui zetu si kama Mwamba wetu
|
||
|
|
||
|
Sanamu za maadui na miungu ya uongo havina nguvu kama za Yahwe.
|
||
|
|
||
|
# kama vile maadui zetu wanavyokiri
|
||
|
|
||
|
"sio tu hatusemi hivyo, lakni adui wetu wanasema hivyo pia"
|