sw_tn/deu/28/60.md

32 lines
879 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Habari ya jumla
Musa anazungumza kwa Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa yako kwenye umoja.
# Ataleta juu yako mara nyingine magonjwa yote ya Misri
"Atahakikisha kuwa tena unateseka kwa magonjwa ya Misri"
# yatakung'ang'ania
magonjwa hayataacha, na hakuna mmoja ataweza kukuponya kwayo"
# kila ugonjwa na pigo ambalo halijaandikwa
Huku kupigwa chuku kunaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "hata magonjwa na mapigo ambayo sijaandika"
# hadi umeangamizwa
Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "hadi amewaangamiza"
# Utabaki wachache kwa idadi... mlikuwa kama...hamkusikiliza
Musa anazungumza kwa Waisraeli kama kundi hivyo mifano yote ya "wewe" ni uwingi.
# ulikuwa kama nyota wa mbinguni kwa idadi
Hii ina maanisha kwamba zamani kulikuwa na Waisraeli wengi.
# sauti ya Yahwe
Hapa maneno "sauti ya Yahwe" urejea kwa kile Yahwe asemavyo.