sw_tn/deu/23/03.md

16 lines
556 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# haruhusiwi kuwa miongoni mwa kusanyiko la Yahwe
Hii ni lahaja. "hawezi kuwa mshiriki kamili wa jamii ya Israeli"
# kutoka hadi kizazi cha kumi cha uzao wake
Hii "kumi" ni mpangilio wa nambari kwa ajili ya kumi. "hata baada ya kizazi cha kumi cha uzao wake"
# hawaku kutana nanyi kwa mkate na maji
Maana kamili ya kauli hii inaweza kuwekwa wazi. "hawaku kukaribisha kwa kukuletea chakula na kinywaji"
# dhidi yako ... awalaani
Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja.