# haruhusiwi kuwa miongoni mwa kusanyiko la Yahwe Hii ni lahaja. "hawezi kuwa mshiriki kamili wa jamii ya Israeli" # kutoka hadi kizazi cha kumi cha uzao wake Hii "kumi" ni mpangilio wa nambari kwa ajili ya kumi. "hata baada ya kizazi cha kumi cha uzao wake" # hawaku kutana nanyi kwa mkate na maji Maana kamili ya kauli hii inaweza kuwekwa wazi. "hawaku kukaribisha kwa kukuletea chakula na kinywaji" # dhidi yako ... awalaani Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja.