sw_tn/deu/22/06.md

20 lines
509 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Musa anazungumza na Waisraeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo maneno "yako" ni katika umoja.
# kiota cha ndege
nyumba ambayo ndege hujitengenezea kwa kutumia vijiti, nyasi, mimea, na matope.
# kikiwa na makinda ya ndege au mayai ndani mwake
"na watoto wa ndege aumayai ndani ya kiota"
# na mama yao akiwa juu yao
"na mama wa ndege akikalia juu ya makinda ya ndege"
# siku zako ziweze kurefushwa
Siku ndefu ni lugha nyingine kwa maisha marefu. "kuweza kuishi muda mrefu".