forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
809 B
Markdown
16 lines
809 B
Markdown
|
# Kwa kinywa cya mashahidi wawili, au watatu, yeye atakayekufa atauawa
|
||
|
|
||
|
Hapa "kinywa" uwakilisha ushuhuda wa mashahidi. Hii inaweza kutofasiriwa kwa mfumo kazi.
|
||
|
|
||
|
# lakini kwa kinywa cha shahidi moja peke hapaswi kuawa
|
||
|
|
||
|
Hapa "kinywa" uwakilisha ushuhuda wa shahidi. Hii inaweza kutofasiriwa kwa mfumo kazi. "kama mtu mmoja peke anazungumza dhidi yake, basi unapaswa kumuawa"
|
||
|
|
||
|
# Mkono wa shahidi unapaswa kuwa wa kwanza kumuawa, na baada ya hapo mkono wa watu wote
|
||
|
|
||
|
Hapa "mkono" uwakilisha mtu mzima. "Mashahidi wenyewe wanapaswa kuwa wa kwanza kumponda mawe. Basi watu wote watamuawa kwa mponda mawe"
|
||
|
|
||
|
# na utaondoa uovu kutoka miongonu mwenu
|
||
|
|
||
|
Jina kuvumshi "uovu" inaweza kusemwa kama kuvumishi. "unapaswa kumuondoa miongoni mwa Waisraeli mtu huyu ambaye afanya uovu huu" au unapaswa kumuawa mtu huyu muovu"
|