# Kwa kinywa cya mashahidi wawili, au watatu, yeye atakayekufa atauawa Hapa "kinywa" uwakilisha ushuhuda wa mashahidi. Hii inaweza kutofasiriwa kwa mfumo kazi. # lakini kwa kinywa cha shahidi moja peke hapaswi kuawa Hapa "kinywa" uwakilisha ushuhuda wa shahidi. Hii inaweza kutofasiriwa kwa mfumo kazi. "kama mtu mmoja peke anazungumza dhidi yake, basi unapaswa kumuawa" # Mkono wa shahidi unapaswa kuwa wa kwanza kumuawa, na baada ya hapo mkono wa watu wote Hapa "mkono" uwakilisha mtu mzima. "Mashahidi wenyewe wanapaswa kuwa wa kwanza kumponda mawe. Basi watu wote watamuawa kwa mponda mawe" # na utaondoa uovu kutoka miongonu mwenu Jina kuvumshi "uovu" inaweza kusemwa kama kuvumishi. "unapaswa kumuondoa miongoni mwa Waisraeli mtu huyu ambaye afanya uovu huu" au unapaswa kumuawa mtu huyu muovu"