sw_tn/deu/17/02.md

40 lines
1002 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kama kunapatikana miongoni mwenu
Hii inaweza kusemwa kwa kauli tendaji. "Kama unampata mtu" au "Kama kuna mtu yeyote miongoni mwenu"
# ndani ya malango ya mji wenu wowote
Hapa "malango" uwakilisha miji. "kuishi kwenye moja ya miji yenu"
# Je, ni jambo baya machoni pa Yahwe Mungu wako
Hapa, "machoni pa Yahwe" umaanisha nini Yahwe azingatia au kufikiri kuhusu kitu fulani. "kitu fulani ambacho Yahwe Mungu hufikiri ni kiovu"
# huvujika kwa agano lake
"kutotii agano lake"
# yeyote ambaye ameshaenda
"kama unamkuta yoyote ambaye ameshaenda"
# yeyote wa jeshi la mbinguni
"nyota yoyote"
# hakuna kitu nilichokuamuru
"ambayo sijamwamuru yoyote kufanya"
# ikiwa umeambiwa juu ya hili
Hii inaweza kusemwa kwa mfumo tendaji. "kama mtu anakuambia kuhusu hili tendo la kutotii"
# fanya uchunguzi wa makini
Jina dhahania "uchunguzi" inaweza kusemwa kama kitenzi. "unapaswa kwa uangalifu uchunguzi kilichotokea"
# Hitilafu hiyo imefanywa nchini Israeli.
Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi.