# kama kunapatikana miongoni mwenu Hii inaweza kusemwa kwa kauli tendaji. "Kama unampata mtu" au "Kama kuna mtu yeyote miongoni mwenu" # ndani ya malango ya mji wenu wowote Hapa "malango" uwakilisha miji. "kuishi kwenye moja ya miji yenu" # Je, ni jambo baya machoni pa Yahwe Mungu wako Hapa, "machoni pa Yahwe" umaanisha nini Yahwe azingatia au kufikiri kuhusu kitu fulani. "kitu fulani ambacho Yahwe Mungu hufikiri ni kiovu" # huvujika kwa agano lake "kutotii agano lake" # yeyote ambaye ameshaenda "kama unamkuta yoyote ambaye ameshaenda" # yeyote wa jeshi la mbinguni "nyota yoyote" # hakuna kitu nilichokuamuru "ambayo sijamwamuru yoyote kufanya" # ikiwa umeambiwa juu ya hili Hii inaweza kusemwa kwa mfumo tendaji. "kama mtu anakuambia kuhusu hili tendo la kutotii" # fanya uchunguzi wa makini Jina dhahania "uchunguzi" inaweza kusemwa kama kitenzi. "unapaswa kwa uangalifu uchunguzi kilichotokea" # Hitilafu hiyo imefanywa nchini Israeli. Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi.