sw_tn/deu/16/03.md

36 lines
729 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# nayo
Hapa "nayo" urejea kwa mnyama atakayetolewa dhabihu na kuliwa.
# siku saba
"siku 7"
# mkate wa taabu
Hii ilikuwa jina la mkate usiotiwa chachu.Maana kamili inaweza kutajwa kwa waziwazi.
# nje ya ardhi ya Misri kwa haraka
Watu walipaswa kuondoka Misri kwa haraka ambako hakuwa na muda wa kutosha kufanya mkate wa amila.
# Fanya hili kwa siku zote za maisha yako
"Fanya hili kwa muda mrefu unapoishi"
# kumbuka akilini
Hii ni nahau. "kumbuka"
# Hakuna chachu lazima ionekane kati yenu
Hii inaweza kutajwa kwa mfumo tendaji. "Haupaswi kuwa na chachu yoyote miongoni mwenu"
# ndani ya mipaka yenu
"ndani ya wilaya yako yote" au "katika nchi yako yote"
# siku ya kwanza
Hii "kwanza" ni namba ya upeo kwa moja.