forked from WA-Catalog/sw_tn
40 lines
1012 B
Markdown
40 lines
1012 B
Markdown
|
# hapana kuwa na mawazo maovu ndani ya moyo wako, kusema
|
||
|
|
||
|
Hapa "moyo" uwakilisha akili ya mtu. "usifikiri mawazi maovu"
|
||
|
|
||
|
# Mwaka wa saba, mwaka wa kutolewa, u karibu
|
||
|
|
||
|
Ina maana kuwa kwa haraka mtu anafikiria hii atakuwa na wasiwasi kumsaidia mtu maskini kwa sababu inawezekana kwamba mtu maskini hatastahili kulipa tena. Maana kamili ya maelezo haya inaweza kufanywa wazi.
|
||
|
|
||
|
# Mwaka wa saba
|
||
|
|
||
|
Neno "saba" ni namba ya upeo ya saba.
|
||
|
|
||
|
# mwaka wa kutolewa
|
||
|
|
||
|
"mwaka wa kufuta madeni"
|
||
|
|
||
|
# u karibu
|
||
|
|
||
|
Kitu fulani kitatokea mapema husemwa kama kilikuwa karibu kimwili.
|
||
|
|
||
|
# ili usiwe na uchungu juu ya ndugu yako maskini na usimpe kitu
|
||
|
|
||
|
"ili usije ukaidi na kukataa kutoa chochote kwa Waisraeli wenzako"
|
||
|
|
||
|
# lila kwa Yahwe
|
||
|
|
||
|
"piga kelele kwa Yahwe kwa ajili ya msaada"
|
||
|
|
||
|
# itkauwa dhambi kwako
|
||
|
|
||
|
"Yahwe atachunguza yale uliyoyatenda kuwa ya dhambi
|
||
|
|
||
|
# moyo wako lazima usiwe na huruma
|
||
|
|
||
|
Hapa "moyo" uwakilisha mtu mzima
|
||
|
|
||
|
# katika yote ambayo unaweka mkono wako
|
||
|
|
||
|
Hapa "kuweka mkono wako" uwakilisha mtu mzima na kazi ambazo amefanya.
|