# hapana kuwa na mawazo maovu ndani ya moyo wako, kusema Hapa "moyo" uwakilisha akili ya mtu. "usifikiri mawazi maovu" # Mwaka wa saba, mwaka wa kutolewa, u karibu Ina maana kuwa kwa haraka mtu anafikiria hii atakuwa na wasiwasi kumsaidia mtu maskini kwa sababu inawezekana kwamba mtu maskini hatastahili kulipa tena. Maana kamili ya maelezo haya inaweza kufanywa wazi. # Mwaka wa saba Neno "saba" ni namba ya upeo ya saba. # mwaka wa kutolewa "mwaka wa kufuta madeni" # u karibu Kitu fulani kitatokea mapema husemwa kama kilikuwa karibu kimwili. # ili usiwe na uchungu juu ya ndugu yako maskini na usimpe kitu "ili usije ukaidi na kukataa kutoa chochote kwa Waisraeli wenzako" # lila kwa Yahwe "piga kelele kwa Yahwe kwa ajili ya msaada" # itkauwa dhambi kwako "Yahwe atachunguza yale uliyoyatenda kuwa ya dhambi # moyo wako lazima usiwe na huruma Hapa "moyo" uwakilisha mtu mzima # katika yote ambayo unaweka mkono wako Hapa "kuweka mkono wako" uwakilisha mtu mzima na kazi ambazo amefanya.