sw_tn/deu/12/05.md

20 lines
603 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mahali ambapo Yahwe Mungu wako atachagua katika kabila zako zote ili kuweka jina lake
Hapa "jina lake" urejea kwa Mungu mwenyewe. Yahwe atachagua eneo moja ambako atakaa na watu watakuja kumwabudu huko.
# ni huko mtaende
Wataenda kumwabudu ambako Mungu ameamua.
# sadaka iliyotolewa kwa mkono wako
Hapa "mkono" uwakilisha mtu mzima.
# "sadaka zako kwa ajili ya viapo, sadaka zako za uhuru
"sadaka zako hutimiza kiapo, sadaka zako za hiari. Hizi ni aina za sadaka.
# mzaliwa wa kwanza wa ng'ombe zako na kondoo
Mungu anahitaji kwamba watu wampe kila mwanaume wa kwanza mazaliwa wa mifugo yao.