sw_tn/deu/05/01.md

16 lines
805 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# kuitwa kwa Israeli yote
Musa alitaka kila mmoja Israeli kusikiliza na kutii maneno yake, lakini sauti yake inawezekana haikuwa kubwa kwamba kila mmoja kumsikia.
# kwamba nitazungumza katika masikio yenu leo
Hapa "masikio" urejea kwa mtu ote. Huu mfano unasisitiza kwamba watu wanajua kile Musa alichosema kwao, ili kwamba wasitende dhambi na kisha wasiseme hawakujua kuwa walikuwa wanafanya dhambi.
# Yahwe hakufanya agano hili na baba zenu
Maana zinawezekana ni 1) Yahwe hakufanya pekee agano na wale waliokuwa huko Horebu; agano pia lilikuwa na kizazi cha badae cha Israeli au 2) Yahwe hakufanya agano hili na baba zenu wa mbali, kama vile Abrahamu, Isaka, na Yakobo; badala yake, agano hili lilianza na wanaisraeli huko Horebu.