# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli. # kuitwa kwa Israeli yote Musa alitaka kila mmoja Israeli kusikiliza na kutii maneno yake, lakini sauti yake inawezekana haikuwa kubwa kwamba kila mmoja kumsikia. # kwamba nitazungumza katika masikio yenu leo Hapa "masikio" urejea kwa mtu ote. Huu mfano unasisitiza kwamba watu wanajua kile Musa alichosema kwao, ili kwamba wasitende dhambi na kisha wasiseme hawakujua kuwa walikuwa wanafanya dhambi. # Yahwe hakufanya agano hili na baba zenu Maana zinawezekana ni 1) Yahwe hakufanya pekee agano na wale waliokuwa huko Horebu; agano pia lilikuwa na kizazi cha badae cha Israeli au 2) Yahwe hakufanya agano hili na baba zenu wa mbali, kama vile Abrahamu, Isaka, na Yakobo; badala yake, agano hili lilianza na wanaisraeli huko Horebu.