forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
610 B
Markdown
20 lines
610 B
Markdown
|
# Taarifa ya jumla
|
||
|
|
||
|
Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli
|
||
|
|
||
|
# Lakini ni kwa namna gani mimi peke yangu nibebe shehena zenu, mizigo yenu, na mizozo yenu?
|
||
|
|
||
|
Musa anatumia swali kusisitiza kwamba hawezi kutatua shida zao yeye mwenyewe. Swali hili la kejeli linaweza kutofasiriwa kama taarifa.
|
||
|
|
||
|
# beba shehena zenu, mizigo yenu
|
||
|
|
||
|
Musa anazungumza kama shida za watu na malalamiko aliyohitaji kushughulikia vilikuwa vitu vizito ambavyo alikuwa amebeba.
|
||
|
|
||
|
# migogoro yenu
|
||
|
|
||
|
"mabishano yenu" au "kutokubaliana kwenu"
|
||
|
|
||
|
# watu wa tabia nzuri kutoka kila kabila
|
||
|
|
||
|
"watu ambayo watu wa kila kabila la Israeli huwatii"
|