sw_tn/dan/12/05.md

24 lines
968 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla
Malaika amemaliza kuongea, na Danieli anaendelea kusema kile alichokiona baadaye katika maono yake tangu katika 10:4
# kulikuwa na malaika wengine wawili wamesimama
"kulikuwa na malaika wengine wawili wamesimama"
# Mmoja wao alimwambia mtu aliyevaa nguo za kitani,
Hii inamrejelea mtu aliyekuwa akiongea na Danieli, siyo mmoja wale watu waliokuwa wamesimama pembeni mwa mtu.
# ukingo wa mto,
Maana zinazoweza kukubalika 1) malaika alikuwa juu ya mto au 2) malaika alikuwa mbali katika ukingo sambamba na mto.
# Je itachukua muda gani mpaka mwisho wa matukio haya ya kushangaza?
"Matukio haya ya kushangaza yatadumu kwa muda gani?" Hii inarejelea mwanzo hadi mwisho wa matukio.
# matukio haya ya kushangaza
Katika muda ule ambao malaika alikuwa akiongea na Danieli, hakuna hata tukio hata moja lilikuwa limetokea. Hii kwa uhalisia inarejelea matukio katika 12:1, na huenda yalijumuisha matukio yaliyo katika maono kutoka sura ya 11.