sw_tn/dan/11/29.md

16 lines
300 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# meli kutoka Kitimu zitamshambulia
Meli zinawakilisha jeshi likitoka katika meli hizo.
# Kitimu
Hii inarejelea makazi katika kisiwa cha Kipro katika Bahari ya Meditraniani.
# Atakuwa mwenye hasira
"atakasirika sana"
# atawaonyesha mema wale
"atatenda kwa wema kwa wale" au "atawasaidia wale"