# meli kutoka Kitimu zitamshambulia Meli zinawakilisha jeshi likitoka katika meli hizo. # Kitimu Hii inarejelea makazi katika kisiwa cha Kipro katika Bahari ya Meditraniani. # Atakuwa mwenye hasira "atakasirika sana" # atawaonyesha mema wale "atatenda kwa wema kwa wale" au "atawasaidia wale"