sw_tn/dan/11/11.md

28 lines
513 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla
Malaika anaendelea kuongea na Danieli.
# atainua jeshi kubwa
"atakusanya jeshi kubwa"
# jeshi litatiwa katika mkono wake
Mahali hapa neno "mkono" linawakilisha utawala wa mfalme
# Jeshi litachukuliwa
Hii yaweza kuandikwa kwa muundo tendaji. "Mfalme wa Kusini ataliteka jeshi la Kaskazini"
# utainuliwa juu
Kuinuliwa juu kunawakilisha wazo wa kuwa na kiburi.
# atawafanya makumi maelfu kuanguka
Mahali hapa kuanguka kunawakilisha kufa katika vita.
# makumi maelfu
"Maelfu mengi"