# Maelezo ya jumla Malaika anaendelea kuongea na Danieli. # atainua jeshi kubwa "atakusanya jeshi kubwa" # jeshi litatiwa katika mkono wake Mahali hapa neno "mkono" linawakilisha utawala wa mfalme # Jeshi litachukuliwa Hii yaweza kuandikwa kwa muundo tendaji. "Mfalme wa Kusini ataliteka jeshi la Kaskazini" # utainuliwa juu Kuinuliwa juu kunawakilisha wazo wa kuwa na kiburi. # atawafanya makumi maelfu kuanguka Mahali hapa kuanguka kunawakilisha kufa katika vita. # makumi maelfu "Maelfu mengi"