sw_tn/dan/10/14.md

8 lines
238 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla
Malaika anaendelea kuongea na Danieli
# niligeuza uso wangu na kuuelekeza chini
"Niliangalia chini ardhini" Danieli huenda alifanya hivi ili kuonesha unyenyekevu katika heshima kubwa, au kwasababu alikuwa ameogopa.