# Maelezo ya jumla Malaika anaendelea kuongea na Danieli # niligeuza uso wangu na kuuelekeza chini "Niliangalia chini ardhini" Danieli huenda alifanya hivi ili kuonesha unyenyekevu katika heshima kubwa, au kwasababu alikuwa ameogopa.