sw_tn/dan/10/10.md

12 lines
277 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mkono ulinigusa
Hii ni lugha ya picha inayowakilisha mtu, huenda ni mtu yule ambaye Danieli alimwona.
# Danieli, mtu aliyetunzwa
Hii pia yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji."Danieli, wewe ambaye Mungu anakuhifadhi sana"
# aliyetunzwa sana
anayethaminiwa na kupendwa sana