# Mkono ulinigusa Hii ni lugha ya picha inayowakilisha mtu, huenda ni mtu yule ambaye Danieli alimwona. # Danieli, mtu aliyetunzwa Hii pia yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji."Danieli, wewe ambaye Mungu anakuhifadhi sana" # aliyetunzwa sana anayethaminiwa na kupendwa sana