sw_tn/dan/09/26.md

24 lines
703 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# sitini na mbili saba
Hii si njia ya kawaida ya kuhesabu kwa Waisraeli. Kama inawezekana jaribu kuhifadhi matumizi ya namba saba.
# mtiwa mafuta ataharibiwa na atakuwa hana kitu chochote
Hii yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "watu watamharibu mpakwa mafuta na hatakuwa na kitu"
# mpakwa mafuta
kupaka mafuta ni tendo la ishara linaloonesha kwamba mtu fulani amechaguliwa.
# kiongozi ajaye
Huyu ni mtawala wa kigeni, si "mpakwa mafuta"
# Mwisho wake utatatokea kwa gharika,
Jeshi litauharibu mku na sehemu takatifu kama vila gharika linavyoharibu vitu.
# Uharibifu umekwisha amriwa.
Kauli hii yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "Mungu amekwisha amuru kuuharibu mji na mahali patakatifu."