sw_tn/dan/08/24.md

24 lines
675 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla
Katika mistari hii, malaika anamwelezea Danieli maana ya ishara ya vitu ambavyo aliviona katika maono yake. Wanyama na pembe zinawakilisha watawala wa kibinadamu au falme.
# lakini si kwa nguvu zake mwenyewe
Hii yaweza kuelezwa kwa muundo chanya. "lakini mtu fulani atampa nguvu zake"
# Ataufanya udanganyifu usitawi
Hapa neno "udanganyifu" unaongelewa kana kwamba alikuwa ni mtu ambaye atafanikiwa. "kiwango cha uongo utaongezeka"
# chini ya mkono wake
Hapa "mkono" unarejelea utawala wake. "chini ya utawala wake."
# Mfalme wa wafalme
HIi inamrejelea Mungu
# akini si kwa mkono wowote wa binadamu
Neno ''mkono'' lina maana ya nguvu/mtawala.