sw_tn/dan/06/26.md

32 lines
897 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo kiunganishi
Hii inaendelea kueleza ujumbe ambao Dario aliutuma kwa kila mtu katika ufalme wake.
# watetemeka na kumcha
Maneno haya yana maana sawa na yanaweza kuunganishwa. "kutetemeka kwa hofu"
# Mungu wa Danieli
"Mungu ambaye Danieli alimwabudu"
# kwa kuwa ni Mungu aliye hai na huishi milele
Virai hivi viwili "Mungu aliye hai" na "aishiye milele" vinaelezea dhana moja, kwamba Mungu huishi milele.
# ufalme wake ha....; utawala wake uta..
Virai hivi vyote viko sambasamba, na vinatia nguvu juuu ya jinsi ufalme wa Mungu hautakuwa na mwisho."
# ufalme wake hauwezi kuharibiwa
Maneno haya yaweza kuelezwa katika muundo tendaji. " hakuna yeyote aweza kuuangusha ufalme wake" au "ufalme wake utadumu milele"
# utawala wake utakuwepo hadi mwisho.
"atatawala milele"
# amemhifadhi Danieli salama dhidi ya uwezo wa simba.
"hajawaruhusu simba wenye nguvu kumdhuru Danieli"