sw_tn/dan/06/17.md

24 lines
803 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# tundu
Hii inarejelea chumba au shimo mahali simba walikuwa wanatunzwa.
# mfalme alilitia muhuri wa pete yake mwenyewe na pamoja na muhuri wa wakuu wake.... kuhusiana na Danieli
Kazi ya pete yea muhuri yaweza kuelezewa kwa uwazi. Mfalme pamoja na wakuu wake walikandamiza pete katika chapa iliyotengenezwa kwa nta.
# na usiku ule alikuwa na mfungo
Hili ni tendo linaloashiria kwamba mfalme alikuwa na wasiwasi kuhusu Danieli.
# chochote kisiweze kubadilishwa kuhusiana na Danieli
"hakuna awezaye kumsaidia Danieli"
# Hakuna starehe yoyote iliyoletwa mbele yake
maneno haya yaweza kuelezwa kwa kutumia muundo tendaji. " Hapakuwa na mtu yeyote wa kumburudisha"
# nao usingizi ulimkimbia
Usingizi unaongelewa kana kwamba unaweza kukimbia kutoka kwa mfalme. "hakulala kabisa usiku wote ule"